Friday, April 29, 2011

KISWAHILI

Ngombe mzuri huonekana bila kumnadi,lugha nzuri na taariri hujionyesha wakati inapotumiwa vema.Tuilinde na kuienzi Lugha yetu bashasha,ilhali kuntu isitekwe na maharamia wa Lugha.